Facebook Pixel
Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Masterland auvisha muziki wa Buja fleva taji mpya.

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la Masterland ameuvisha taji mpya muziki wa Buja fleva masaa machache tu baada ya kuachia wimbo wake mpya ambao umeambatana na video kwa pamoja. Baada ya kuwa amewaahidi mashabiki na wanaofuatilia sana muziki wa nyumbani kwa kipindi cha mwezi mmoja kuwa ataachia wimbo huo,tayari sasa amaeikamilisha ahadi yake. Video […]

The post Masterland auvisha muziki wa Buja fleva taji mpya. appeared first on Swahilimedias.

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS
Not playing